lyrics

Rayvanny – Marry Me Lyrics

Advertisement

I wanna marry you
Because you are the first person
I wanna look at
When I wake up in the morning
And the only one I wanna kiss goodnight
Hmm, when you love someone as much as I love you
Getting married is the only thing
That is left to do
So will you hmm, will you marry me?

(Zest on the beats ladies and gentlemen)
Siku nyingine tulivu
Macho zangu yatazama mboni zako
Huku nikitafakari safari tuliopita

Sina mwingine believe
Kwenye moyo uko peke yako
Jalali atujalie safari
Tuweze fika

Advertisement

Ni mengi umenivumilia najua
Nimekuvumilia najua
Tofauti zetu, mapungufu yetu
Yamefanya penzi kukoma
Toka nakutumia barua
Nakuzawadia maua
Ukaribu wetu, mapenzi yetu
Yamegeuka chozi la fora

Nakutunza kama mboni ya jicho langu
Milele uwe ubavu wangu
Nakupa hati ya moyo wangu
Wewe (wewe)
Ni wakutengeneza furaha yangu
Unatembea na roho yangu
Usijekuniacha peke yangu
Wewe (wewe)

Am starting new life (aah)
You in my life (aah)
And am ready to spend
The rest of my life with you
Am starting new life (aah)
You in my life (aah)
And am ready to spend
The rest of my life with you

You marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say “yes”
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say “yes”

Nimetimiza ahadi
Nimetimiza malengo
Naiona nuru ya penzi letu
Iking’aa

Nipe watoto zawadi
Ishara ya upendo
Naiona nuru
Tabasamu lako ndani ya shela
Furaha yetu inawakera
Nami mfungwa wako
Kwenye jela ya mapenzi

Am starting new life (aah)
With you my wife (aah)
And am ready to spend
The rest of my life with you
Am starting new life (aah)
With you my wife (aah)
And am ready to spend
The rest of my life with you

Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say “yes”
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say “yes”

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button